Tuesday, February 23, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA MABALOZI OFISINI KWAKE LEO.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Mhe. Alvaro Rodriguez kabla  ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Yosemin Eralp kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala  Gilsenan,  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Switzerland nchini, Mhe.  Florence Tinguely Mattli,  Ofisini kwake  Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Anonymous said...

Ofisi ya Mhe.Waziri Mkuu inabidi warekebishi mpangilio wa viti Ofisini kwake. Yeye kama mwenyeji anatakiwa mgeni wake awe kulia kwake ndio Itifaki sahihi na sio set up ilivyo sasa.