Tuesday, January 26, 2016

UBALOZI MDOGO WA INDIA ZANZIBAR WAADHIMISHA MIAKA 67 YA UHURU WA JAMHURI YA INDIA.

 Kaimu Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akisalimiana na Wananchi mbalimbali wenye asili ya India wanaoshi Zanzibar waliohudhuria katika hafla ya kuadhimisha miaaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya India iliyofanyika katika Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar.
 Wananchi mbalimbali wanaioshi Zanzibar wenye asili ya India wakiimba wito wa Taifa la India Picha na Abdallah Omar.
 Kaimu Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akipandisha Bendera ya India kuashiria kuifungua sherehe ya Uhuru wa Jamuhuri ya India ya kutimiza miaka 67 katika Sherehe iliofanyka katika ubalozi huo Migombani Zanzibar.
 Wananchi waliohudhuria katika hafla hiyo wakisherehekea baada ya kupandishwa Bendera ya Nchi ya India kuadhimisha miaaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya India iliyofanyika katika Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar.
Kaimu Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akiwahutubia wananchi mbalimbali wanaoishi Zanzibar waliohudhuria katika kuadhimisha siku ya Uhuru wa Jamuhuri ya India kuadhimisha miaka 67 katika ofisi za Balozi migombani Zanzibar. 

Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.

No comments: