Monday, January 11, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif, avunja ukimya na kuzungumzia kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar huku akitoa msimamo wa chama chake.https://youtu.be/AKVdr07BZgc
Waziri wa katiba na sheria Dr.Harrison Mwakyembe atema cheche na kutangaza vita na watumishi wa mahakama wasio waadilifu.https://youtu.be/6JQtwKpeLeU

Serikali kupitia wizara ya afya yatoa tathimini ya ugonjwa wa kipindupindu nchini huku ikitoa tahadhari kwa wananchi kwa kuwa ugonjwa huo bado ni tishio kubwa. https://youtu.be/EgnKniwW3KQ

Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa awataka wazazi na walezi kushirikiana na serikali ili kuhakikisha wanafunzi wote wanaoanza darasa la kwanza wanajiunga kidato cha kwanza. https://youtu.be/_KN5zEOUQ08
Wananchi wa kata ya Tambani mkoani Pwani waanza ujenzi wa daraja la miti ili waweze kupita kipindi hiki cha mvua huku wakitoa rai kwa serikali.https://youtu.be/6oe46V6W4m4

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeonya juu ya wananchi wenye nia ya kuharibu sherehe za maadhimisho ya mapinduzi zinazo tarajiwa kufanyika hapo kesho. https://youtu.be/5WZ2S4aCJpw
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Geita yawafikisha mahakamani maafisa 3 wa halmashauri ya Geita kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi wa fedha wa zaidi ya milioni 31. https://youtu.be/z_nBFx6CQF4

Mkoa wa Mwanza waelezwa kuvuka malengo ya kuandikisha idadi kubwa ya wanafunzi licha ya changamoto za uchakavu wa madarasa na madawati.https://youtu.be/oKv0J_9mTkY

Kufuatia mkutano wa Maalim Seif hii leo baadhi ya wananchi visiwani Zanzibar watoa maoni yao. https://youtu.be/fNsCR005YQw

Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai ateua wabunge watakaounda kamati ya kanuni za Bunge itakayofanya marekebisho ya kanuni za kudumu za bunge. https://youtu.be/6EqP8zyB7iA

Halmashauri ya manispaa ya Bukoba yawasimamisha kazi watumishi wawili kwa tuhuma za kugawa viwanja kinyume cha sheria kufuatia zoezi la bomoa bomoa. https://youtu.be/zZ5VsmZu10Q

Aliyekuwa mgombea urais visiwani Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif amuomba Rais Magufuli kuingilia kati mgogoro wa Zanzibar;https://youtu.be/50rqgOfTfIA

Rais wa Zanzibar Dkt . Ali Mohamed Shein asema suala la kurudiwa uchaguzi visiwani humo halina njia ya mkato; https://youtu.be/U0Q_EEWzFbE
Naibu waziri wa mambo ya ndani Mhe. Hamad Yusuf Masauni, asema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na wageni na nchi nyingine bila ubaguzi wowote; https://youtu.be/JGzNNC4DrVU

Halmashauri zote nchini zimeagizwa kuwalipa wananchi ambao maeneo yao yalitaifishwa na halmashauri hizo; https://youtu.be/OGJI3NJq02I

Baadhi ya wanachama  wa  Sukari Saccos  mkoani Kagera wamesema hawana elimu ya kutosha ya ushirika; https://youtu.be/A75bQ5oSo0k

Inaelezwa kuwa sheria inayosimamia taasisi ndogo za kifedha nchini inatarijiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwaka huu; https://youtu.be/L2tCpbr9FD0

Serikali imemuagiza mjenzi katika uwanja wa Tandika Mabatini jijini Dar es Salaam kuondoa vifaa vya ujenzi katika eneno la uwanja huo;https://youtu.be/h9YIBPD4uHo

Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mbwana Samatta kumpogeza kwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika; https://youtu.be/8WdwRlDJD-E

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif apinga kurejewa kwa uchaguzi visiwani humo; https://youtu.be/FrXGJy9Y9xg

Rais John Magufuli amtembelea na kumpa pole waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye aliyelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili;https://youtu.be/5pYrfdDi6DQ

Watumishi watatu wa halmashauri ya wilaya ya Geita wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma; https://youtu.be/gnJUriYOxo4

Mahakama kuu kanda ya Mwanza imefuta kesi ya upingaji matokeo katika jimbo la  Ilemela iliyokuwa imefunguliwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Highness Kiwia ; https://youtu.be/M3BaA79q8ZE
Shirika la maendeleo la petroli TPDC limeanza mazungumzo na wawekezaji wanaotaka kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi;https://youtu.be/HbGQqSxFgLc

Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA inatarajia kuanza kampeni ya kisayansi ya upimaji  wa vyakula kwa nchini nzima;https://youtu.be/CMDQUDfI3RI

Kamati ya nidhamu ya shirikisho la mpira duniani FIFA yatoa siku 60 kwa klabu ya Etoile Du Sahel ya nchini Tunisia kuilipa klabu ya Simba fedha za uhamisho wa Emaul Okwi; https://youtu.be/txwYZ6EjPRY

Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa duniani kwa mwaka 2015 anatarijiwa kujulikana usiku wa leo; https://youtu.be/KLppWNfseOw

No comments: