Tuesday, October 13, 2015

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA KWA KISHINDO MKOA WA PWANI.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita chama cha Mapinduzi,Dtk John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Mkuranga,Ndugu Abdallah Khamis Ulega mbele ya umati wa wakazi wa Mkuranga jioni ya leo kwenye kutano wa kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita chama cha Mapinduzi,Dtk John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Mkuranga,Ndugu Abdallah Khamis Ulega mbele ya umati wa wakazi wa Mkuranga jioni ya leo kwenye kutano wa kampeni
Sehemu ya Umati wa Mkuranga wakishangila jambo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli uliofanyika jioni ya leo.
Sehemu ya Umati wa Mkuranga wakishangila jambo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli uliofanyika jioni ya leo.
Dkt. Magufuli akiwa ameshika kadi za Wananchama wa upinzani walioamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni
Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo la Nchinga, Said Mtanda katika mkutano wa kampeni Kata ya Nangaru.
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kusini, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM  mjini Kilwa Masoko.

Wananchi wa Kibiti wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni na kuwaomba kura wananchi hao ili wamchague akawe Rais wa awamu ya tano kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa Oktoba 25 mwaka huu.

Wananchi wa Nchinga wakifuatilia mkutano wa kampeni
Wananchi wa Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wMkoa wa Lindi
Wanafuatilia mkutano wa kampeni
Wananchi wa Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wakifuatilia mkutano wa kampeni za CCM, katika Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, Mkoa wa Lindi
Wananchi wa jimbo la Kilwa Masoko wakiwa wamekusanyika mapema leo mchana wakisubiri kusikiliza sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.
Baadhi ya wananchi wakiwa wamefunga barabara wakitaka Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli awasalimia na pia kuwasikiliza matatizo yanayowakabili katika eneno hilo,wakati akitokea mkoani Lindi mara baada ya kumaliza kampeni zake na kuendelea na kampeni zake mkoa wa Pwani jioni ya leo. 
Wananchi wa Kibiti wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni na kuwaomba kura wananchi hao ili wamchague akawe Rais wa awamu ya tano kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa Oktoba 25 mwaka huu. 
Sehemu ya umati wa wakazi wa Mkuranga wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM
Wananchi wa Mkuranga wakishangilia jambo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo mjini humo
Wakazi wa Mkuranga wakifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni

No comments: