Tuesday, October 13, 2015

BRIGHT ANGEL HIGH SCHOOL YAFANYA MAHAFALI YA SABA YA KIDATO CHA NNE MWISHONI MWA WIKI.

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bright Angel High School, Ajay Mohamed akiwa katika pozi mara baada ya mahafali ya saba ya kidato cha nne katika shule hiyo Kisavule Mkuranga Mkoani Pwani.
Kushoto ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bright Angel High School, Ajay Mohamed akiwa na mwanafunzi mwenzake katika shule hiyo.
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Bight Angel wakikata keki kusherekea mahafali ya saba katika shule hiyo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Pwani.
 Kutoka kulia ni Mkuu wa shule ya Bright Angel High School, Angribeth Nkwera katikati ni Mgeni rasmi katika mahafali ya saba katika shule ya Bright Angel High School, Innocent Banzi na Bi.Yasinta Mwinuka wakiwa angalia wanafunzi wa shule hiyo wakati wakitumbuiza katika mahafali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Pwani. 
Wananfunzi wakitumbuiza katika mahafali ya saba ya Bright Angel High School iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa shule ya Bright Angel High School, Angribeth Nkwera mwenye shati la bluu kushoto na Mgeni rasmi katika mahafali ya saba katika shule ya Bright Angel High School, Innocent Banzi  wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa shule hiyo mara baada ya mahafali ya saba yaliyofanyika  mkoani pwani mwishoni mwa wiki.

No comments: