Wednesday, September 2, 2015

WANANCHI WA MASASI WAMKUBALI MAGUFULI,WAJITOKEZA KWA WINGI BARABARANI KUMLAKI

   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.
 Wakazi wa Masasi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Bomani wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini humo,Magufuli aliwaambia wananchi hao kuwa kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.
 Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM mkoani Mtwara Ndugu Mohamed Sinan wakati alipokuwa akimkaribisha ili kuzungumza na wakazi wa Nanyumbu mkoani Mtwara. 
 Wananchi wa Nanyumbu wilayani Masasi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
  Wananchi wa Nanyumbu wilayani Masasi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mapema leo wilayani humo.
 Wananchi wa Nanyumba wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili na kuwahutubia
 Umati wa watu ndani ya uwanja wa Bomani wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia ndani ya mji huo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha wagombea udiwani wa Jimbo la Namtumbo.
  Wakazi wa Matemanga wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
  Wananchi wa Tunduru wakifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli. 
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tunduru kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
  Wananchi wa Tunduru wakifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 wananchi wa Tunduru wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea Urais wa CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia wananchi hao mkoani Ruvuma


 Umati wa wakazi wa Tunduru ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
  Umati wa wakazi wa Tunduru wakisangilia jambo wakati Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini humo 
 Baadhi ya vijana wapatao 300 wakiwemo hawa kutoka chama cha CUF na CHADEMA wakirejesha kadi za vyama hivyo na kujiunga na chama cha CCM,ambapo kadi zao walizikabidhi kwa mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akipokea kadi za waliokuwa wanachama wa CUF mara baada ya kujiunga na CCM kwenye mkutano wa kampeni mjini Tunduru.
 wakazi wa Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.
  Wakazi wa Matemanga wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
  Wananchi wa kijiji cha Nakapanya wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa safarini kutokea mkoa wa Ruvuma akielekea Masasi mkoani Mtwara.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Michiga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia wakati akiwa njiani kuelekea Masasi.
 Baadhi ya wananchi wakimsikiliza  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipopita kuwasalimia wakazi wa kijiji cha Michiga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia wakati akiwa njiani kuelekea Masasi



 Mgombea Urais wa CCM akiwasalimia wananchi wa Nanyumbu mara baada ya kuwasili wilayani Masasi na kuwahutubia.

No comments: