Tuesday, August 4, 2015

FAHAMU UHUSIANO ULIOPO KATI YA UNENE & UZITO ULIOZIDI (OBESITY & OVERWEIGHT ) NA TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Unene  na  uzito  uliozidi  ( Obesity )  ni  miongoni  mwa  vyanzo  na  visababishi  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Kwa   mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitabibu, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wenye   unene  na  uzito  uliozidi, wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

KWANINI  WANAU
ME  WENYE  UNENE  NA  UZITO  ULIOZIDI  WANAKABILIWA  NA  HATARI  KUBWA  YA  KUPATWA  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Wanaume  wenye  uzito na  unene  uliozidi  wapo  katika  hatari  kuu  ya  kupatwa  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  sababu  kuna  uhusiano mkubwa  kati  ya  unene/uzito  uliozidi  pamoja  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.

Kama  tulivyo elezea  katika  makala  zetu  za  nyuma,  SUALA  LA NGUVU  ZA  KIUME NI  SUALA  LA  KIMFUMO.  Mfumo  wa  nguvu  za  kiume  unahusisha  ogani  mbalimbali  katika  mwili  wa  mwanadamu.

Ili  mwanaume  aweze  kuwa  na  nguvu  imara  za  kiume, ni  lazima  ogani  zote  zinahusika  katika  mfumo, ziwe  imara  na  zenye  afya  njema, na  pia  ni  lazima  ziwe  na  ushirikiano  imara.

Kudhoofishwa  kwa  ogani  moja  wapo  kati  ya  ogani  hizo  kutasababisha  mhusika  apatwe  na  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Kwa  kukumbushia  tu,  mambo  makuu  muhimu  katika   mfumo  wa   nguvu  za  kiume  yapo  matano  ambayo  ni
1. Ubongo  imara  na  wenye  afya  njema
2. Mishipa  imara  ya  kusafirishia  damu  mwilini
3.
3.Mfumo  imara  na  wenye  afya  wa usafirishaji  damu  mwilini.
4.4.Mishipa  na  misuli  ya  uume  iliyo  imara na  yenye  afya  njema
5.5.Pamoja  na  uhusiano  imara  na  wenye afya  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  iliyo katika  ubongo  ( nerves),mishipa  ya kwenye  uti  wa  mgongo  ( spinal  cords ) pamoja  na  mishipa  & misuli  ya  kwenye uume.
Sasa  basi, hitilafu  yoyote  katika  mojawapo  kati  ya  mambo  matano  tajwa  hapo  juu, itamfanya  mhusika  apatwe  na  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

UNENE  NA  UZITO  ULIOZIDI   UNA  SABABISHA  VIPI  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA/AMA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Kwa lugha nyepesi  na  yenye  kueleweka  kwa  kila  mtu,  mtu mwenye  unene  na  uzito  uliopitliza, maana  yake  ni  kwamba  ana  mafuta  , sukari  na  kolestrol  nyingi  katika  damu  yake.
Kwa  maana  nyingine, ni kwamba  kama  wewe  una  unene  uliopitiliza, maana  yake ni  kwamba, ogani  zilizomo  ndani  ya  mwili  wako  zinaogelea  katika  mafuta  yaliyomo  ndani  ya  mwili wako.

1.  Kolestrol   nyingi   katika  damu, huathiri  mfumo  usafirishaji  damu  katika  mishipa  ya  inayo  tumika  kusafirisha  damu  katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili  ikiwamo  katika  mishipa  ya  kwenye  uume. Matokeo  yake  basi  , kolestrol  hiyo  husababisha  kuziba  kwa  ateri  ambayo  ndio  njia  itumikayo  kupeleka  damu  katika  mishipa  na  misuli  ya  kwenye  uume, na  kama  damu  haitaweza  kusafirishwa  hadi  kwenye  mishipa  ya  kwenye  uume, maana  yake  ni  kwamba, mwanaume  huyo  hatokuwa  na  uwezo  wa  kusimamisha  uume  wake  kwa  sababu, damu  ndio  inayo  ufanya   uume  uweze  kusimama.

2. Kama  ilivyo  kwa  kolestrol, sukari  na  mafuta  mengi  katika  damu  huathiriki  utiririkaji  wa  damu   mwilini  na  hivyo  kufanya  vigumu  damu  kutiririka  kuelekea  kwenye  mishipa na misuli   ya  uume  ambayo  ndio  inahusika  na  kuufanya  uume   usimame.

3. Unene  na  uzito  uliopitiliza  una  uhusiano  mkubwa  sana  na  ugonjwa  wa  kisukari. Na  ugonjwa  wa  kisukari nao  una  uhusiano  mkubwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, kwa  sababu  unaathiri  mfumo  mzima  wa  nguvu  za  kiume  kama  ifuatavyo : Kwanza;unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa  ya  ubongo  na  kuifanya  ishindwe   kuwa  na  uhusiano  mzuri  na  mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo, pamoja  na  mishipa  na  misuli  ya  kwenye  uuume. 

Pili unashambulia na  kudhoofisha  mishipa  ya  usafirishaji  damu  mwilini na  tatu  unasababisha  kudhoofika  kwa  ogani  muhimu  katika  mwili  wa  mwanadamu  kama  vile  figo.
Hivyo  basi, mwanaume  mwenye  unene  na  uzito  ulio zidi, yupo  katika  hatari  kubwa  sana  ya  kupatwa  na  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, kuliko  inavyo weza  kufikiriwa.

4. Unene  na  uzito  uliopitiliza  una  uhusiano  mkubwa  na  tatizo  la  shinikizo  la  damu. Kwa  lugha  nyingine  ni  kwamba, watu  wanene  wapo  katika  hatari  kubwa  sana  ya  kupatwa  na  tatizo  la  shinikizo  la  damu,. na  tatizo  la  shinikizo  la  damu  nalo  lina  uhusiano  mkubwa  sana  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
Shinikizo  la  Damu husababisha  mishipa  ya  ateri  ambayo  hutiririsha  damu  iingiayo  kwenye  uume  kuziba  na  kushindwa kutanuka  kwa  kiwango  inachotakiwa  kutanuka.
Pia  huifanya  mishipa  laini  katika  uume   kushindwa  ku-relax  na  hivyo  kushindwa  kuizuia  mishipa  ya  vena  ya  kunyonya  damu  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  kwenye  maeneo  mengineyo  ya  mwilini.
Matokeo  yake  kunakuwa hakuna  kiasi  cha  kutosha  cha  damu  iingiayo  kwenye  uume  na  hivyo  kufanya  uume  ushindwe  kusimama.
Vile  vile  hata  kiasi  kidogo  cha  damu  kinacho  ingia  kwenye  uume, kinashindwa  kuendelea  kuhifadhiwa  ndani  ya  uume  wakati uume  ukiwa  umesimama, na  matokeo yake  ni  uume  kusinyaa  ndani  ya  kipindi kifupi  sana  tangu  usimame.

Kama  hiyo  haitoshi, tatizo  la  unene  na  uzito  kupita  kiasi  lina  weza  kupelekea  mhusika  kupatwa  na  magonjwa  ya  presha  na   moyo  ambayo  nayo  yanachangia  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  kiasi  kikubwa  sana.

SULUHISHO  LA  TATIZO  NI  NINI?

Kama  wewe  ni  mwanaume  mwenye  tatizo  la  unene  na  uzito  ulio zidi, unapaswa  kufanya  mambo  yafuatayo:
i.  Kupunguza  kolestrol   mwilini: Unaweza  kupunguza  kolestrol  na  mafuta  mengi   mwilini  kwa  kufanya  mazoezi  na  diet  ama  kwa   kutumia   dawa  mbalimbali    za  asili  ama  vyote  kwa  pamoja.
ii.  Unapaswa  kupunguza  unene  na  uzito  : Unaweza  kupunguza  unene  na  uzito  kwa  kutumia  mazoezi na  diet  ama  kwa  kutumia  dawa  asilia  ya  MKATAA  KITAMBI  ambayo  inasaidia  sana  kupunguza  mafuta  mwilini, kupunguza  unene  na  uzito.

TIBA  ASILIA  YA  NGUVU  ZA  KIUME  KWA  WANAUME  WENYE  UNENE & UZITO  ULIOZIDI.

Kwa  mwanaume  mwenye  unene &  uzito  uliozidi  ambaye  pia  ana  sumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, anashauriwa  kutumia  dawa  zifuatazo kwa  pamoja
1.  Dawa  ya  kuondoa  kolestrol  na  mafuta  mengi  kwenye  damu.
2.  Dawa  ya  kupunguza  unene  na  uzito  pamoja  na
3. Dawa  asilia  ya  nguvu  za  kiume  iitwayo JIKO  ambayo  inatibu  na  kuponya  kabisa  tatizo  la  ukosefu na/ama upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ndani  ya  siku  thelathini  tu.
Dawa  ya  JIKO  inapatikana  kwa  gharama  ya  SHILINGI  ELFU  THEMANINI.

Dawa  ya JIKO  pamoja  na  dawa  za  kuondoa  kolestrol   & mafuta  mwilini, kupunguza  unene  na  uzito  zinapatikana  katika  duka  la  kuuza  dawa  asilia  la  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC  lililopo  jijini  DAR  ES  SALAAM, katika  eneo  la  TABATA  MAKOKA  karibu  na  Shule  ya  Sekondari ya  Mt. ANNUARITE.
WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84.
Kwa  wateja  waliopo  jijini  DAR  ES  SALAAM, ambao  hawana  nafasi  ya  kufika  ofisini  kwetu,  watapelekewa  dawa  mahali  walipo  ( DELIVERY )
Kwa  wateja  wa  ZANZIBAR  watatumiwa  dawa  kwa   njia  ya  boti.
Kwa  wateja  wa mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya   MABASI na
Kwa  wateja  wa  ughaibuni, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya   POSTA  au DHL.
Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu   tiba  asilia  ya  magonjwa  mbalimbali, tembelea  kila  siku :

www.neemaherbalist.blogspot.com

No comments: