Saturday, April 18, 2015

Jaji mkuu akutana na afisa usalama mtanzania katika umoja wa mataifa

Jaji Mkuu wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman  akiwa na Mlinzi wa Usalama katika Umoja wa Mataifa, Afisa  Ally Baruti kutoka Tanzania jijini New York. 
Mhe. Jaji Mkuu  yupo  Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo  Huru la Wataalam wanaopitia  na kuchambua taarifa mpya kuhusu kifo    cha Bw. Dag  Hammarskjold ambaye  aliwahi kuwa   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban Ki Moon  alimteua Mhe. Jaji Mkuu  kuongoza  jopo hilo  mwezi  uliopita,  Wajumbe wengine ni  Bw. Kerryn Macaulay kutoka Australia na Bw.  Henrik Ejrup  Larsen kutoka Denmark
He added that 40 per cent of breastfeeding women and 45 per cent of expectant mothers have Vitamin A deficiency.Mr Lyimo noted that the government has made several commitments in an attempt to reverse the situation such as finalising nutrition strategy and implementation plan, establishment of high level national nutrition steering committee.


No comments: