Saturday, December 20, 2014

shamrashamra za manunuzi ya nguo za krismasi mtaa wa kongo jijini dar leo

Baadhi ya akina mama wakichagua nguo
Mfanyabiashara  katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauza 
mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua katika mtaa wa kongo

dogo akivishwa nguo ambaye akijaribishwa kama inatosha

wafanyabiashara wakiwa kazini

hii ndio hali ya mtaa wa kongo katika manunuzi ya krismax

sagulasagula katika mtaa wa kongo

mmachinga akiwatangazia bei wannunuzi katika mtaa wa kongo leo

biashara huku jua kali mpaka boksi ndio linakuwa mwamvuli

wamachinga wakinadi ngua

wakinunua shanga na vidani

wakinamama wakichagua nguo kwa ajili ya sikukuu

No comments: