Wednesday, December 17, 2014

SHEREHE YA FUNGA MWAKA KWA WAFANYAKAZI WA AZANIA BANK YAFANA JIJINI DAR

 Wafanyakazi wa Azania Bank wakibadilishana mawazo kwenye hafla ya kufunga mwaka iliyofanyika Kijiji Beach
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Charles Singili(katikati) akicheza mpira na wafanyakazi wenzake kwenye sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika Kijiji Beach
 Wafanyakazi wa Azania Bank wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika Kijiji Beach
 Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho ya kufunga mwaka Benki ya Azania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Charles Singili akichukua chakula wakati wa hafla ya kufunga mwaka ya Benk hiyo iliyofanyika Kijiji Beach
 Wafanyakazi wa Azania Bank wakichukua chakula
 Wafanyakazi wa Azania Bank wakila chakula pamoja
 Afisa Biashara Mwandamizi wa Azania Bank makao makuu ,Othman Jibrea akichukua chakula 
Wafanyakazi wa Azania wakizuka ngoma

No comments: