Tuesday, October 21, 2014

WAZIRI SAMUEL SITTA AREJEA KAZINI KWAKE, APOKELEWA KWA VIFIJO WIZARANI


 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samwel Sitta akiwasili Wizarani Jengo la NSSF Water Front ghorofa ya 5 jijini Dar es salaam leo Asubuhi. Mhe Sitta, aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, ameanza kazi rasmi baada ya kuwa katika vikao vya Bunge hilo kwa miezi kadhaa na leo wafanyakazi wamemlaki kwa shangwe kwa kurejea kwake kazini baada ya kazi hiyo nzito ya kihistoria.
 Waziri Sitta akipokea ua kutoka kwa Mfanyakazi wa Wizara
 Waziri Sitta akisalimiana  na wafanyakazi
 Hongera Mzee wa Kasi na Viwango...Waziri Sitta akisalimiana na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Wizara Bi. Mary Fidelis
 Ohhhh Asanteni sana kwa heshima hii
 Tumekumiss sana Mzee wa Viwango...
 Waziri Sitta akisindikizwa na Katibu Mkuu Joyce Mapunjo mara baada ya kuwasili Wizarani
 Waziri Sitta akisindikizwa na Katibu Mkuu Joyce Mapunjo mara baada ya kuwasili Wizarani
 Waziri Sitta akisindikizwa na Katibu Mkuu Joyce Mapunjo mara baada ya kuwasili Wizarani
Waziri Sitta akizungumza na Katibu Mkuu Joyce Mapunjo mara baada ya kuingia ofisini kwake
  

No comments: