Tuesday, July 22, 2014

NEWZ ALERT;WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

No comments: