Sunday, June 30, 2013

Spika wa Bunge la Oman na Ujumbe wake watembelea Hifadhi ya Ngorongoro

Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akimpatia briefing Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi kabla ya kuanza kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro leo.
Mhe. Nyarandu akimuongoza Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi kuingia lango kuu la Hifadhi ya Ngorongoro leo.
Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi akisaini kitabu cha wageni katika Hifadhi ya Ngorongo. kulia ni Naibu Spika Mhe. Job Ndugai.
Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akiongea na waandishi kuhusu ugeni wa Bunge la Oman uliongozwa na Spika wa Bunge lao Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi (kushoto) kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro leo.
Mhe. Nyarandu akimpatia mgeni zawadi.
Msafara wa Magari yaliobeba ugeni huo kutoka Bunge la Oman ukiwa Ngorongoro.
Mhe. Spika akipata Taswirazz Mbungani.

No comments: