Thursday, May 23, 2013

TASWIRA TOKA BUNGENI DODOMA LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt.  Emmanuel  Nchimbi  akitoa kauli ya Serikali Bungeni kuhusu vurugu zilizotokea Mkoani Mtwara. 2 
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda  akiahirisha Bunge kutokana na vurugu zilizotokea Mkoani Mtwara 3 
Waziri wa Nchi  ofis ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)  Merry Nagu akiomba kutengua kanuni  ya Bunge  Na. 38 ili kuruhusu suala la vurugu za Mtwara kujadiliwa Bungeni.
Waziri Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Frederick Werema  pamoja na baadhi ya Mawaziri   ndani ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge . 5 
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo  akizungumza na baadhi ya Mawaziri na Wabunge ndani ya ukumbi wa Bunge mara baada ya Spika wa Bunge kuahirisha bunge   6 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Emmanuel Nchimbi (Kushoto) akizungumza na mbunge wa Kinondoni Mhe. Iddi Azzan nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya bunge kuahirishwa. 7 
Wabunge wa Viti Maalumu wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Spika kuahirisha Bunge. Kutoka kushoto ni Mhe. Lucy Owenya(CHADEMA), Katikati  Mhe. Mkiwa Kimwanga(CUF) na kulia ni Mhe. Dkt. Merry Mwanjelwa(CCM).
Naibu Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Pereira Ame Silima (Katikati), Naibu wa Viwanda na Biashara Mhe. Greygory Teu (kushoto) na mbunge wa Kilosa Mhe. Mustafa Mkullo wakizungumza nje ya ukumbi wa  Bunge.
9 
Kundi la Waandishi wa Habari wanaoripoti  habari za Bunge wakitoka ndani ya ukumbi huo mara baada ya Spika wa Bunge kuahirisha kikao cha Bunge.
PICHA NA ZAWADI MSALLA-MAELEZO DODOMA

No comments: