Wednesday, October 17, 2012

Wapiganaji Jackline Mkomange na Francis Sengo wameremeta Songea



DSC_0488.JPG

Mpiganaji Jackline Mkomange akimvalisha pete mai hazbendi wake mpiganaji  Francis Sengo walipomeremeta  katika kanisa kathorik familia takatifu Bombambili manispaa ya Songea mwishoni mwa wiki iliyopita,wote ni watangazaji wa kituo cha Radio jogoo cha mjini Songea.

DSC_0490.JPGD
Maharusi Francis Sengo wa pili kushoto na Bi Jackline Mkomange wakiwa na wapambe wao Gerson Msigwa kushoto na Catherine Nyoni Msigwa kulia katika kanisa la familia takatifu Bombambili Songea.
DSC_0499.JPG
Chiiiaaaaazzzzzzzzz....
DSC_0494.JPG

 Bw harusi Francis Sengo na mpambe wake Gerson Msigwa wakiingia ukumbini.

DSC_0507.JPG

 Sengo akinywesha Champen na Mkewe Jackline

DSC_0514.JPGDSC_0514.JPG
905K   View   Share   Download  

Baba mzazi wa Jackline,mzee Mkomange akicheza muziki na Jackline katika ukumbi wa bombambili mjini Songea.

DSC_0526.JPGDSC_0526.JPG
929K   View   Share   Download  

Maharusi wakikata keki waliyoandaliwa wakati wa harusi yao. Chini Jackline akimlisha keki mai hazbendi9 wake Francis Sengo

DSC_0528.JPG

No comments: