Monday, June 25, 2012

kilele cha ziara rasmi ya siku mbili ya rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sarhawi

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi Mhe Mohamed Abdelaziz kwenye kilele cha ziara yake rasmi nchini leo Juni 25, 2012
 Rais Kikwete na mgeni wake wakiipigia makofi Brass Band ya Polisi kwa kutumbuiza wakati wa hafla ya chakula cha mchana Ikulu
 Inspekta Billy Kachale akiongoza vyema Brass Band ya Polisi huku Rais Kikwete na mgeni wake wakishuhudia
 Rais Kikwete akijiandaa kumpa mgeni wake zawadi ya meza ya kuchezea Chess
 Rais Kikwete akipokea zawadi ya fimbo ya heshima ya Sahrawi
 Rais Kikwete akipokea zawadi ya ngamia
 Rais Kikwete akifurahia zawadi la joho la Ki-Sahrawi
 Picha ya pamoja
 Rais Kikwete akimsindikiza mgeni wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
 Matarumbeta ya Mount Usambara yako gado kumuaga mgeni
 Ngoma ya utamaduni ya kikundi cha JKT
 Heshima kwa Rais Kikwete na Mgeni wake
 Rais Abdelaziz akiagana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
 Kwa heri ya kuonana
Safari njema....

No comments: