Saturday, January 14, 2012

hafla ya kila mwaka ya kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki waliotutangulia mbele ya haki yafanyika jioni hii leaders club jijini da

  MC Abubakar Liongo akisoma orodha ya majina ya ndugu, jamaa na marafiki waliotutangulia mbele ya haki katika hafla ya kila mwaka iliyofanyika leo viwanja vya leaders club jijini Dar na kuhudhuriwa na wadau kibao kutoka kila pembe ya jiji
 wadau wakisikiliza mawaidha ya dini
 Mawaidha yamewakolea wadau
 Sheikh akitoa khadith
 Wazee wa Saigon ndani ya nyumba
 Saigon iliwakilishwa vyema

 Neno likitolewa
 Ohoooooo... Bwa'Dossa upo?? Rubama yuko wapi leo?
 Wadau haflani
 Umoja na undugu wa kuigwa
 Shaba nne zilipigwa...
 Ni wakati wa ubeche....
 wadau wakiwa katika foleni ya mpunga
 Ubeche wa pamoja una raha yake
 wadau
 Kinamama walikuwapo kwa wingi
 Bufee la nguvu
 Waratibu wakiangalia mambo yanaenda sawa wakati David Mgwassa 'akionja' ubeche huo
 Hapa haliharibiki neno
 Wadau katika foleni
 "....Yaani ndio natua toka London, nikaona nisikose mpunga huu" Da'Asha Baraka akimwambia Mgwassa
 Wadau wakipata
 Kinadada na kinamama wapo katika kujipendelea
 Wadau
 Dayati baadaye....
 Tonge nyama...
 Stori kwa wingi...
 Mpunga wa paamoja mtamu bwana...asikwambie mtu
 Wadau wakihesabu mchele
 Ibrahim Kapenta mezani pake na wadau
 Ni siku ya kukutana na uliopotezana nao muda mrefu
 Jose Mara akiongoza mashambulizi
 Mpunga umekolea
 Viongozi wa dini na waratibu
Wadau toka kila pembe ya jiji
 Waandaazi wakipata mpunga

 Da'Asha Baraka akipiga stori na Jose Mara
 Meza ya wadau wa ughaibuni
 Mkutaniko wa marafiki
 Stori mtu
 Friends of Simba ndani
 Stori zikiendelea
 Marafiki wakiwa meza moja
 Viongozi wa dini wakifurahia kuona jinsi watanzania wanavyodumisha umoja kwa hafla kama hii bila kujali tofauti zao za rangi, jinsia ama imani
 Ubeche
 Kinadada mezani
 Da hii foleni haiishi tu??
 Ubeche, here we come....

No comments: